Mheshimiwa Michuzi, naomba unwekee bango hili kwenye Blog yako Tukufu. Hali ni Mbaya!!

Inashangaza sana hakuna Oryx gesi nchini wiki moja sasa wakati mamlaka husika zimekaa kimya bila kulizungumzia tatizo hili. Wakati huo makampuni makubwa kama Bumaga na Big Boom  ambayo ndo mawakala yamehodhi kiwango kikubwa cha gas na kuuza matika maduka yao. 

Je? Ni ufisadi wa aina wa kuwaondoa wajasiriamali /wafanya biashara wadogo katika biashara hii na kuwanufaisha matajiri wakubwa.  Inawezekana, mfumo umekubali kwa makusudi mawakala wakubwa kuhodhi kiasi kikubwa cha gesi maghalani? Kwa nini ukiritimba umeruhusiwa kwa kampuni mbili kuingiza nishati hii muhimunchi nzima?. Ingekuwa kwa nchi za wenzetu ingekuwaje?  Waziri husika kuwajibika??

As the response of people to the use of gas/ LPG is increasing rapidly, and thus saving the natural forests from natural tree cutting for charcoal, it is alarming to see unreliable/ intermittent supply of gas in the market. It is almost a week now since the market run short of gas yet neither EWURA nor Oryx  Co. Ltd has come forward to explain the reason behind the shortage.  People are forced to travel long distance in pursuing the product and sometimes buy it at inflated prices 
What irks me most is to see that few super dealers have accumulated large storage in their warehouses which is now sold only in their stations. What a monopoly? It strikes in my mind that monopoly is looming the market and there is apparent big collusion between the supply companies and the super dealers. Why allowing few un capable and unefficient companies to import gas.  The practice is also aimed at squeezing the small entrepreneurs off the business and enriching the super dealers. We say no to corrupt collusion and monopoly. Believe me or not, this can only happen here in Tz, otherwise in developed countries the responsible Minister could have faced outright resignation.


We request the responsible authorities to take immediate action to stop this dubious business.
Candid to my Country
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...