Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. naomba kuuliza hii ni Polisi jamiii au ndio afande kakimbia Lindo kaenda kuvuna mahindi yanke shambani?

    ReplyDelete
  2. this is Kul .. polisi jamii hadi katika mavuno

    ReplyDelete
  3. Mangi wa KiboshoOctober 17, 2011

    Afande Alfonso vipi? hilo ni dili la mibange kaka?

    ReplyDelete
  4. Duh afande unachakaza jezi

    ReplyDelete
  5. Mh, sio bangi hiyo?

    ReplyDelete
  6. Lahaula ujasiriamali hauchagui uniform ya kazi...ama sivyo huli mjini hapa

    ReplyDelete
  7. Hii ni safi kabisa,kwa sababu hawa jamaa walizoea sana kuwatumia makuruta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...