Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, Beda Kinunda (kushoto) akiwakabidhi jezi wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tagamenda ya Mkoani Iringa, Francis Mabiki (kulia na Ally Salum. Anaeshuhudia katikati ni Mwalimu Mkuu wasjhule hiyo, Benjamin Kabungo. Jezi hizo ni sehemu ya vifaa vya michezo kwaajili ya shule hiyo kuendelea kujiandaa na kukuza vipaji kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 17 mara baada ya shule hiyo kushiriki mashindano ya mwaka huu ya kuvumbua na kukuza vipaji ya Airtel Rising Stars  
 Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi jezi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Tagamenda ya Mkoani Iringa, John Chulla. Anaeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mbando. Jezi hizo ni sehemu ya vifaa vya michezo kwaajili ya shule hiyo kuendelea kujiandaa na kukuza vipaji kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 17 mara baada ya shule hiyo kushiriki mashindano ya mwaka huu ya kuvumbua na kukuza vipaji ya Airtel Rising Stars 
 Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi jezi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mawelewele ya Mkoani Iringa,Nyahi Amani. Anaeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano waAirtel Jackson Mmbando. Jezi hizo ni sehemu ya vifaa vya michezo kwaajili ya shule hiyo kuendelea kujiandaa na kukuza vipaji kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 17 mara baada ya shule hiyo kushiriki mashindano ya mwaka huu ya kuvumbua na kukuza vipaji ya Airtel Rising Stars
Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi jezi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Lugalo ya Mkoani Iringa, Benjamin Kabungo. Anaeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano waAirtel Jackson Mmbando. Jezi hizo ni sehemu ya vifaa vya michezo kwaajili ya kukuza vipaji kwa watoto chini ya miaka 17.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...