Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. inakuwaje wenye maduka ya kubadilishia pesa wananunua dola 5 mpaka 20 kwa bei ya chini kulinganisha na dola 50 na mia,lakini wanauza kwa bei moja????

    ReplyDelete
  2. uncle ingelikuwa vizuri pia kama ungelikuwa unaweka na bei za vitu muhimu kama vyakula, bei ya daladala na peroli ili mtu aweze kupima ni kiasi gani mtu anaishi kwa kutegemea mshahara wake Tanzania na kwa walio nje ni kiasi gani kinatosha kusaidia familia nyumbani kila mwezi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...