Home
Unlabelled
BREKING NYUUZZZZZ: Mh Edward Lowassa avunja ukimya leo Monduli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Well, honestly, sijaona alichoongea
ReplyDeletehaiwezekani kila siku usakamwe wewe tu muheshimiwa,kashfa zote pamoja na Richmond, kwanini asiachie ngazi tu mkuu, maana kiongozi mzuri ni mtu wa watu na sio mnyonyaji, tazama mali zako na wananchi unaowaongoza kunauwiano kweli?
ReplyDeleteALIYOYAFANYA MAZURI NI MENGI SANA MFANO LEO TUNA SHULE NYINGI KIASI HAKUNA WANAFUNZI.NAMJUE KILA BINADAMU ANAMAPUNGUFU HATA VIONGOZI WA DINI WANAMATATIZO MBONA HAMYASEMI (MFANO WANALAWITI WATOTO YANAISHIA KTKT MAGAZETI TU)WATANZANIA TUSIRITHI CHUKI.TURITHI MAENDELEO
ReplyDeleteHata vidole vyako vya mkono haviko sawa, Nyerere ndio alitaka watu wote wawe sawa kitu ambacho hata kwenye vitabu vitakatifu hakipo. kuna uhakika gani Lowassa ni fisadi kama jamii inavyomuandama?? mimi nina imani nae asilimia 120 kuwa ni muadilifu na mpenda maendeleo ya watu, jamani njooni muone neema za Monduli, hizo ni siasa chafu za kuchafuana tu. alipokuwa waziri mkuu niliwahi kurekodi ziara zake alizokuwa akizifanya mikoani na kwa kipindi kifupi jamaa alifanya kazi ya kuonekana lkn watanzania ni wepesi wa kusahau hebu tutafute ukweli sio kusoma tu magazeti na kumshutumu mtu bila ushahidi, watu wanapotoshwa jamani. niliwahi kumsikia mtu kwa masikio yangu akidai kuwa lile ghorofa pale upanga la richmond ni la Lowasa tena jamaa anasema kwa confidence zote wakati wamiliki wa majengo hayo wanajulikana. yaani jamaa kashindwa kulinganisha shutuma za richmond na majengo hayo lol!!!penye ukweli uongo hujitenga hata kama itapita miaka mia ukweli utajulikana najua utarudi madarakani nitakupa kura ya kulia nakushoto kwa hasira.
ReplyDelete