Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante sana Kaka Michuzi. Nadhani ilikuwa 1992 hapo. Hii ni kabla ya enzi za Ray na Kanumba, hebu cheki tulivyokuwa YOUNG! Asante TAMWA na hasa Directors Dada Fatma Alloo na Leila Sheikh.

    ReplyDelete
  2. Ankali nawe ulikuwemo ndani ya Znyumbaz, kweli wewe ni star wa libeneke la Jamii. Hongera.

    ReplyDelete
  3. Hahahaa Ankal kumbe unavipaji zaidi ya kupiga picha na blog!!!! kumbe ni mwigizaji pia, imekuaje umemwachia Kanumba kuchukua nyota yako?? Utapendeza sana kama ukirudia fani yako ya kucheza sinema! watu mmetoka mbali bwana!

    ReplyDelete
  4. Michuzi, we na Da Chemi wote mlikuwa HOT! Duh! Hii ilifichwa wapi? KUna zingine? We want more!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...