NEEMA HERBALIST AND NUTRITIONAL FOODS CLINIC.
Tunatibu harufu mbaya ya kinywa, kikwapa, pamoja na vipele vya ndevu. Dawa yzetu ni za kienyeji na matokeo yake ni ya uhakika..Kwa wewe unayesumbuliwa na vipele vya ndevu ukitumia dawa yetu hotopatwa tena na vipele hivyo vya ndevu mara baada ya kutumia dawa yetu. Pia tunazo dawa nyinginezo za kienyeji. Dawa zetu hazina side effect.
Tupo eneo la Changanyikeni karibu na Chuo cha Takwimu.
Kwa maelezo zaidi piga simu namba : 0767010756 au 0787010756
Au tembelea blogu yetu ; http;//www.neemaherbalist. blogspot.com..
Utafiti wa majaribio ulifanyika wapi, data ziko wapi?
ReplyDeletesicle cell kweli ni ugonjwa wa kurithi kama pumu au magonjwa mengine ya kurithi na hauambukizi. Mtu anayesumbuliwa na sicle cell anapata maumivu tu kwenye mifupa yake apatapo malaria au wakati mwingine inatokea tu. Muhimbili ndio kwenye madaktari wazuri wa wagonjwa hao wa sicle cell ila ubaya wagonjwa hawa hawajatengewa wodi yao wenyewe hivyo wakilazwa na wagonjwa wenye matatizo mengine ya kuambukiza inakuwa si vizuri jamani. Tafadhali viongozi wa hospitali ya muhimbili angalieni tatizo hili.
ReplyDelete