Meneja Masoko wa Dira News Paper, Abihudi Mang'era (kushoto) akikambidhi msaada wa vifaa vya michezo kwa nahodha wa timu ya Habari Group, Hamis Shabani ambayo inayoundwa na wachezaji wanaouza magazeti pamoja na mawakala wa magazeti. katikati anayeshuhudia ni Mhariri wa Michezo wa gazeti la Dira, Jimmy Charles.
Home
Unlabelled
Dira Media Group yatoa msaada wa vifaa vya michezo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...