Dr Mary-Rose Giattas, Jhpiego's Cervical Cancer and Prevention Program Senior Technical Advisor in Tanzania.
For more videos CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. thatz more than true,
    Even prophert muhammad says those dr mary presents.

    ReplyDelete
  2. BIG UP DR MARY-ROSE KWA UFASAHA WAKO WAKUELEZEA JAMBO MUHIMU KWA JAMII NA KWA KISWAHILI FASAHA BILA YA MAKAJIDAI YA KUONYESHA YA KUA UMESOMA NA NNI. NAOMBA WATAALAM WENGINE WAFUATE NYAYO ZA DR MARY. KUNA WASOMI WEGINE UTAONA ANAELEZEA JAMBO MUHIMU LAKINI UTAONA KICHEFUCHEFU KUSIKILIZA KWA ANAVO KIVURUGA KISWAHILI KWA UTASHAWAKE MWENYEWE AMBAO HAUMSEIDII YEYE MWENYEWE WALA WASIKILIZAJI

    ReplyDelete
  3. Bwana Michuzi ahsante sana kwa video hii na daktari bingwa wetu.
    Nimeiangalia kwa makini sana, na imejibu maswali kadhaa niliyokuwa nikijiuliza.
    Ingawa jamii inatakiwa ielewe kwamba kutahiriwa kunapunguza maambukizi lakini hakuzuii maambukizi. Watu wengine waliotahiriwa wakiangalia hii video watadhania kwamba wao hawawezi kuambukizwa virusi vya ukimwi na hivyo basi kufanya ngono holela bila ya kujikinga. Watu wengi sana wametahiriwa na bado wameambukizwa virusi vya ukimwi.

    ReplyDelete
  4. Asante sana Dr.Mary uje na Scandinavia uwaambie hawa mana shemeji zenu wabishi sana huku

    ReplyDelete
  5. MDAU WA TATU HATA MIE NAKUBALIANA NA WEWE HAPO, KUTAHIRIWA MVULANA AU MWANAUME NI MUHIMU NA VIZURI, ILA KUHUSU UKIMWI SIO SABABU NA ISIJE KUFANYA WAJINGA WAKAONA NDIO NIMETAHIRIWA AU NIKATAHIRIWE NIKIFANYA NGONO ZAIFU NA MWENYE VIRUSI HUWEZI KUPATA BASI USIJE KUJIDANGANYA KUWA WAAMINIFU NA JILINDE NA KUWA MAKINI NA MAISHA HAYA YA SIKU HIZI. SAWA NA KUSEMA TUMIA KONDOM TAYARI UNAUKUBALISHA ZINAA. ZAIDI YA HAPO VIZURI SANA KUELIMISHA JAMII NA HASA KUMBI ZA STAREHE NA KWENYE VIJIWE. MZ

    ReplyDelete
  6. Dr Mary-Rose Giattas, Asante kwa kuelezea jambo hili kwa ufasaha, nimekupenda bure, vip umeolewa?

    ReplyDelete
  7. Asante Dr Marry. Ila utata upo
    1)mbona nchi na magharibi zaidi wana utamaduni wa kutotahiriwa na bado hawaambukizwi sana kama nchi zetu za Afrika?
    2)Pia ukiwa kama mtaalam muhimu, je hili suala la HIV FALSE POSITIVE mbona mnalificha kwa wananchi, kwani imegundulika watu wengi sana wanakutwa positive kutokana na antibodies lakini ukweli ni kwamba hawana virusi na bado wanapewa dawa ambazo matokeo yake zinawaangamiza kabisa.
    Zipi sababu kadhaa ambazo mtu anaweza kukutwa HIV Positive akipima hata kama hajawahi kuambukizwa, sababu mojawapo ni FLU,COLD, PREGNANCY, BLOOD TRANSFUSION,NK. Tunasikia sababu zaweza kufika hata mia. na watu wakiwa katika condition hizo hawapaswi kupimwa HIV mpaka watakapopona ili kuepuka majibu yenye utata ya Flase Positive. Mbona mnaficha hizi sababu kwa wananchi, na kuwafanya baadhi waamini wana virusi maisha yao yote wakati si kweli?
    Tunaomba watu waelimishwe kwa kina na hususani barani Afrika wengi wanakufa kutokana na idara za afya either kutoelewa au kuficha au kutofanya uchunguzi wa kutosha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...