Kuna njia nyingi za kukacha kulipa nauli jijini Dar kama wanavyoonesha 
vijana hawa maeneo ya Mwananyamala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mh!kwa njia ya Mwananyamala kweli yawezekana kukwepa kulipa nauli,lakini angalizo kwa route nyingine ni abiria walioketi viti vya nyuma hadi mstari wa tatu chunga mali yako kwa kufunga kioo la sivyo hata ukiangalia vizuri hao vijana wako kikazi zaidi kuwaliza watu.wakishakwapua wanaruka haoooo!hata dreva akijitahidi kusimamamisha gari muwakute wapi?wakionekana hivyo jihadharini tu ndio ushauri wa ziada ya kuwajua kama wakwepaji wa kulipa nauli

    ReplyDelete
  2. huu nao ni ubunifu but it is very dangerous....let them stop it....

    ReplyDelete
  3. Maisha magumu hakuna "benefit" bongo!!

    ReplyDelete
  4. MCHANGIA MAONI WA TATU LAZIMA UTAKUWA WA KUTOKA KWA WALA UROJO MAANA NYINYI KWA BENEFIT,ILA CAMERON ATAWANYOOSHA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...