Rais Jakaya Kikwete akuipokea kadi ya MasterCard ya NBC toka kwa  Mkurugenzi wa Shughuli za Kibenki wa NBC Bw. William Kallaghe, mwishoni mwa juma Ikulu, Dar es salaam
 Rais Jakaya Kikwete akijisajili ili kupata huduma za NBC MasterCard Ikulu, Dar es salaam. Toka shoto ni Meneja wa Tawi la NBC Corporate branch Bi Jacquiline Sindano, Bw, William Kallaghe na Mshauri wa  mauzo wa NBC Corporate Branch Bw Emmanuel Mseti
Rais Jakaya Kikwete akiwa na  Meneja wa Tawi la NBC Corporate branch Bi Jacquiline Sindano, Bw, William Kallaghe na Mshauri wa  mauzo wa NBC Corporate Branch Bw Emmanuel Mseti baada ya kuchukua kadi ya NBC MasterCard.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. How much iko inside.je jk atasurrender hiyo cash card.

    ReplyDelete
  2. duh, hii imetulia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...