Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za kilele cha kuadhimisha miaka hamsini 50 ya kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es Salaam zilizofanyika katika ukumbi wa Nkurumah jijini Dar es Salaam. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Home
Unlabelled
JK na Museveni waongoza maadhimisho ya miaka 50 ya UDSM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mambo ya siasa bwana, makamu wa mkuu wa chuo anatembea kwenye "red carpet" lakini mkuu wa chuo na rais Museveni hola!!!
ReplyDeleteBravo UDSM!!!
ReplyDeleteHongera Kikwete. Hii imetokea katika uongozi wako. Wengine walie tu. Roho stoki (OOOOOOOOO). Alopewa amepewa katu hapokonyeki. Wa mbili wa mbili tu wa mbili havai moja. Kutesa kwa zamu. TESA TU MWANANGU. WATU WATAKUFA NA VIJIBA VYA ROHO. KAZI KUMWAGIA WATU TINDIKALI. HAFI MTU HAPA.
ReplyDeleteMwalimu Nyerere alishatutahadharisha makabila mawili (well you know them) msiwape kuongoza hii. Hawa hata mkigaiwe viwanja jirani atakuibia tu sehemu. Mimi yalikwishanitokea sio kwamba hii nazua, seuze umpe ikulu.
ReplyDeleteWewe mtoa maoni wa nne hapo juu, mimi nimeishi miaka mingi na sijawahi kusikia hata siku moja Mwalimu Nyerere akitahadharisha Watanzania dhidi ya Watanzania wenzao. Tafadhali toa kumbukumbu ya hiyo hotuba, tamko au maandishi ya Mwalimu Nyerere kukana makabila hayo mawili ya kitanzania ambayo haukuyataja. Kama ni wewe tu uliyebuni hii nadharia tafadhali sana nakusihi uache mara moja uenezi wako wa chuki, fitina na ubaguzi dhidi ya wananchi wa kitanzania.
ReplyDelete