Miti na maua katika barabara ya Bibi Titi Mohamed road jijini Dar es salaam inathibitisha kwamba penye nia pan njia. Baada ya kupandwa na kutunzwa vyema miti na maua yameupendezesha vilivyo mtaa huu maarufu. 
Kilichobaki ni kuendeleza libeneke hili mitaa yote na kila mahali jijini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. yaani hio miashok ndio mnaiita miti? uzuri haina, maua haina, kivuli haitoi, hate them kichizi

    ReplyDelete
  2. Miti hiyo imepandwa karibu mno na barabara na pia ikishakuwa mizizi itaanza kusababisha mipasuko kwenye pavement ya barabara. Hivi city engineers hawalioni hili? Hakuna jambo linalofanyika kwa umakini?Kazi ipo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...