Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Enj.Christopher Sayi (katikati mwenye miwani) akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio ya Sekta ya Maji kwa miaka 50. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Enj. Bashiri Mlindoko, kulia kabisa ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Mama Tabu Aron na Kushoto kabisa ni Mkuu wa Mawasiliano wa Wizara Bwana Nurdin Ndimbe. Wizara ya Maji inaadhimisha maika 50 ya Sekta hiyo kwa makongamano na maonyesho yatakayofanyika katika viwanja vya Chuo cha Maji kuanzia tarehe 25-28 mwezi huu.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Enj. Christopher Sayi. ( Picha zote na Paineto Makweba Wizara ya Maji).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...