Home
Unlabelled
kikwangua anga cha ukweli kijiji cha msafiri,rufiji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii innovation ni nzuri kwa kufundishia technology transfer. Ila hii geto isitumiwe kwa watu kuishi
ReplyDeletewazungu zamani walikuwa wanajaribu kilakitu japo kinaweza kuwa hatari mpaka leo hii wamefanikiwa, huu ndio mwendo kama jamaa angukuwa na muda angechoma matofari kuongeza uimara, na kutumia nguzo nene zaidi, kijijini unaweza kujenga nyumba nzuri tu ya matofali ya udongo, angalia ulaya mashariki, vijiji vyao havina tofauti na bongo ila wanajenga nyumba vizuri na nyenzo zinazopatikana kijijini
ReplyDeleteunajua warufiji walianza kujenga maghorofa kabla ya wazungu! sema tu hatupewi nafasi ya kujiendeleza na ujuzi wetu huu,
ReplyDeletewandengereko
Ughaibuni
Yapo mengi sana huko Jamani sio ilo tu mengine kwa staili nyengine tunayaita Madungu Ni Nyumba za Juu Kwa Juu.
ReplyDeleteMnyagatwa wa Salali
Uarabuni nawakilisha
Hata Malaysia madungu ndio asili yao ila,tofauti yake ni ubora na nyenzo tu.
ReplyDeleteMwendo mdundo kasi ndio hiyo