KAMANDA wa Vijana Kata ya Kivukoni, Dar es Salaam, Sharik Choughule, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya miaka 12 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.
 KATIBU wa Siasa na Uenezi tawi la CCM, Mchafukoge, akimkumbuka Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya miaka 12 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mbona Mishumaa ina Rangi za Chadema? Wajasiliamali wetu wa kutengeneza Mishumaa wameshindwa kweli kuipamba kwa rangi za taifa, potelea mbali rangi za chama tawala. Kuondoa mkanganyiko nilifikiri mishumaa myeupe tupu ama myeusi, ingefaa zaidi.

    Ni hoja Binafsi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...