Askari polisi wakiwa wamemsimamisha na kumuhoji muendesha pikipiki huyu mchana huu ambaye alikuwa akiendesha chombo hicho huku akiwa amempakia mwenzake bila ya kuvaa kofia maalum ya kiusalama.Waendesha pikipiki wengi hapa mjini hawapendi kuvaa kofia hizo mpaka wamuonapo askari Polisi,jambo ambalo ni la hatari sana kwa usalama wake mwenyewe.
Home
Unlabelled
kwanini mnaendesha pikipiki bila kofia ya kiusalama??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
nina buku 2 tu chukueni ya maji
ReplyDeleteBlog ya jamii inafaa ifanye follow up ya jamaa wameishiana vipi, je walifikishwa kituoni? na sheria ilifuata? ili kuwasaidia hawa wapandi piki wavie hizo helmet na polisi na wafanye kazi vizuri- Naomba tupate matokeo ya follow hii
ReplyDeleteKwanza hao ni polisi wa kuzuia fujo sio makosa ya barabarani. Wanajiingiza katika kazi isiyo yao. Ili wapate ulaji!!
ReplyDeleteASKARI NA WEWE MBONA HUJAVAA HI-VIS JACKET KWA USALAMA WAKO MWENYEWE????
ReplyDeleteHivi ndivyo watanzania tunavyokosa ustaarabu na kushindwa kufuata sheria hana kama ni ndogo ndogo tu,Hii ni kwa usalama wa hawa waendesha piki piki na abiria wao,sijui kwa nini watu hawajali maisha yao,Naona hili tatizo lipo sana huko bongo,nchi za wenzetu zilizo staarabika,huwezi kukuta mtu anaendesha piki piki bila helmet,Watanzania tuamke kutoka ktk ujinga ili kuokoa maisha yetu,hiyo rushwa hata ukitoa na baadae unapata ajali na kufa ni hasara lkwa nani ??Kweli bongo tambarare !!
ReplyDeletemtoa maoni Tokyo,Japan.
wewe kijana si unajua mimi ni TIGO? si mnatuita hivyo, sasa mtaipata fresh hapa bila buku 5 haendi mtu!
ReplyDeleteMimi naona hapa serikali imelala sana.kwa haraka haraka watu kama hawa ni vyanzo vizuri sana kwa mapato ya serikali kupitia faini.ni vizuri faini zikawa nzuri ili mwenye pikipiki iwe raisi kutoa faini kuliko kutoa rushwa,pili mtu hasiuziwe pikipiki bila kununua helmet ata kama helmet anayo nyumbani kwake.
ReplyDeletehuyo askari mbona macho yake yako zaidi mifukoni mwa jamaa zaidi ya usoni?huyo mwisho wa siku ni rushwa tu.
ReplyDelete