Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mheshimiwa Sophia Simba akimkabidhi tuzo mshindi wa kwanza wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula lililoratibiwa na Shirika la Oxfam Tanzania,Bi Ester Jerome Mtegule ,katika fainali za Shindano hilo lililofanyika jioni ya leo katika hotli ya Golden Tulip,Masaki jijini Dar es Salaam.Mshindi huyo amepata Trekta mpya aina ya Power Tiller atakalolitumia katika shughuli zake za kilimo,huku Mshindi wa pili na watatu wakijipatika mashine za kuzalisha umeme wa jua (Solar Pewer) kwa kila mmoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...