Baadhi ya wateja wa bank ya NMB tawi la Songea wakiwa katika mstari mrefu wakisubiri kupata huduma za kifedha katika bank hiyo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu Muhidin Amri mjini Songea leo. Inasemekana hali kama hii inaonekana karibu katika kila tawi la NMB nchini kutokana na kutumiwa na wananchi wa kipato cha kati na cha chini pamoja na wanafunzi. Rai imetolewa kwa uongozi wa benki hiyo kutafuta njia ya kuboresha huduma zao na kupunguza adha kama hii.
Home
Unlabelled
mambo yalivyo benki ya NMB tawi la songea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Jamani .. Mdau uliyeweka hii picha na ujumbe hapo chini tunashukuru sana kwani inaweza kusaidia kuodokana na tatizo hili sugu la NMB na wadau wake. Ila naomba nikuweke wazi kwamba watumiaji wa NMB sio watu tu wa kipato cha chini na kati.. hivyo U cannot generalize .. bali ni watumishi kabiribia wote wa serikali , ikiwemo na Jeshi vilevile ..sasa sijui hawa ni wananchi wa kipato cha chini??? Angalia usije chafua hali ya hewa hapa...
ReplyDeleteMh hii sio kweli kwa sasa labda kama una lako jambo
ReplyDelete