Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana,Mh. Said Amanzi (kushoto) akikabidhi kitita cha sh. Milioni 1 kwa nahodha wa timu ya Mabeho,Abbas Mabeho ambao ndio mabingwa wa kupiga makasia katika mashindano ya mbio za Mitumbwi yaliyofanyika jijini Mwanza hivi karibuni kwa udhaminiwa mkubwa wa Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Balimi Extra Lager.Watatu Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo ya Bia,Fimbo Buttallah.
 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana,Mh. Said Amanzi (kushoto) akikabidhi kitita cha sh. laki 6 kwa nahodha wa timu ya Wanawake ya Kigoko,Happiness Mnale ambao ndio mabingwa wa kupiga makasia kwa upande wa wanawake katika mashindano ya mbio za Mitumbwi yaliyofanyika jijini Mwanza hivi karibuni kwa udhaminiwa mkubwa wa Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Balimi Extra Lager.Watatu Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo ya Bia,Fimbo Buttallah.
  Mbio zikiendelea.
Sehemu ya Washiriki wa Mbio za Mitumbwi zilizokuwa zilizodhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Balimi Exta Lager wakiwa katika maandalizi ya kuanza mashindano hayo kwenye fungwe ya Ziwa Victoria,jijini Mwanza hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongereni sana akina mama kwa kushiriki kwenye mbio za mitumbwi.

    Keep it up!

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana wadada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...