Makamu wa  Balozi wa Brazil nchini Mhe. Ronaldo Vieira akiwakaribisha wageni katika Maonyesho ya Mchezo wa Kapoeira yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Utamaduni wa Russia.
Mhe. Ronaldo amesema kwa mara ya Kwanza mchezo wa Kapoeira ulizinduliwa nchini Tanzania Mwezi June mwaka jana na kwa Dar es Salaam mafunzo ya mchezo huo yanafanyika katika kituo cha Fitness Centre, Msasani, na kuwakaribisha makazi wote wa jiwini kuhudhuria mafunzo ya Mchezo huo.
 Juu na chini ni jinsi mchezo wa Kapoeira unavyochezwa 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duh! kumbe kuna wabrazil wengi bongo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...