Mdau Osango Otieno akimlisha kipande cha keki mkewe,Elizabeth katika sherehe ya yao inayofanyika katika ukumbi wa Diamond V.I.P Hall,jijini Dar es Salaam
Msema Chochote (MC) wa shughuli hiyo,MC Luvanda akiweka ratiba sawa huku Maharusi na Wapambe wao wakimsikiliza kwa makini.
wakati wa kufungua shampein.
Cheazzzzz....... kwa amani na upendo.
Hongera Osango! mungu awabariki!
ReplyDeleteFrom Beah!
karibuni sana katika Bunge la wanandoa. Naamini kiapo mulichokula na kumeza moyoni mutakitii na kukienzi kama mulivyoahidi mbele ya Mungu muumba na mashahidi wenu.
ReplyDeleteHongereni sana nawaombea amani na upendo katika ndoa yenu na mupate vizazi vyema na baraka "AMEN"
mapambo mazuri nani kawapambia nina harusi karibuni nipatieni address
ReplyDelete