Salam,
MISSJESTINAGEORGE.BLOGSPOT.COM
Kwa heshima na taadhima zote naomba wadau tuipigie kura ili blog yetu iweze kupata tuzo hii muhimu. Hii ni Blog pekee kutoka Tanzania kuingia katika kinyang'anyiro hiki.
Blog ya www.missjestinageorge.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote ambao watakaoweza kunipigia kura na hata wale wambao hawata weza kunipigia kwa sababu moja au nyingine.
Asanteni sana na wote Mbarikiwe.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Wabariki Watanzania
--
Jestina George
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...