Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro(katikati) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare anaemaliza muda wake hapa nchini,picha inayomuonyesha akisimikwa na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe,wakati alipotembelea mkoa huo kuwaaga rasmi hivi karibuni,kulia Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Abbas Kandoro (katikati) akiangalia picha inayomuonyesha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Dietlof Mare anaemaliza muda wake hapa nchini akisimikwa na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe (kushoto) wakati alipotembelea mkoa huo kuwaaga rasmi hivi karibuni,kulia Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Abbas Kandoro kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania anaemaliza muda wake hapa nchini,Dietlof Mare (katikati) Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga,wakiwa wameshikilia picha inayomuonyesha Mare akisimikwa na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa,wakati alipotembelea mkoa huo kuwaaga rasmi hivi karibuni.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Abbas Kandoro akimsisitiza jambo Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kanda ya kusini kwa ajili ya kumuaaga rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Dietlof Mare (hayupo pichani) anaemaliza muda wake hapa nchini,wapili kutoka kushoto Mkuu wa Wilaya Mbeya Evance Balama.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhulia hafla hiyo ya kumuaaga rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Dietlof Mareha hayupo pichani anaemaliza muda wake hapa nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...