Mabondia Deo Njiku (kushoto) wa Morogoro, akitambiana na Jonas Segu wa Dar es Salaam, baada ya kupima uzito, tayari kwa pambano la kuwania ubingwa wa Taifa wa TPBO.kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach' katikati akiwainua mikono juu mabondia Deo Njiku wa Morogoro kushoto na Jonas Segu wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho jumapili. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. jamani msije mkauwa vijana wa watu, oooh huu mchezo siyo wa njaa njaa haya jamani nimeshasema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...