Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, akikabidhi pikipiki kwa mshindi wa bahati nasibu ya Simba SMS Fun Club inayoendeshwa na kampuni ya Push Mobile, Bertman Hoza katika hafla iliyofanyika mchana huu katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Mshindi wa sh. 50 000 akipokea zawadi yake.
Hivi elfu hamsini ni nauli ya daladala au? maana yake huyo mshindi anaonekana hata hayuko INTERESTED kabisa...mnamzingua tu ,ntu wa watu!
ReplyDelete