Baadhi ya wachezaji wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano utakaofanyika jumapili hii.
Kocha wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli akiwaelekeza vijana toka klab mbalimbali jinsi sheria za mchezo wa ngumi zinavyokua wawapo ulingoni michuano ya mchezo wa ngumi inatarajiwa kulindima kesho jumapili katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. wafundisheni watoto michezo mingine, sio hiyo ya kupigana, Hivi kuna mchezo mpigane mangumi, wengine watoke damu. angalieni michezo ya kucheza.

    ni mtazamo wangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...