Assalama aleykum
Tunapenda kutoa taarifa ya hitma ya mzee wetu marehemu Said Shikamkono (pichani) itakayofanyika leo Jumamosi tarehe 22/10/11 saa saba adhuhri, inshallah, nyumbani kwa marehemu WOOLWICH DORCKYARD address ni 405 Francis street.SE18 5JU
Wake kwa waume wote mnaalikwa
na anaesikia tangazo hili amuarifu mwenzake.
Wake kwa waume wote mnaalikwa
na anaesikia tangazo hili amuarifu mwenzake.
wasalaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...