Mchezaji wa timu ya Co-operative ya Kenya, Mark Mayen akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa Urunani ya Burundi, Niagunduka Donde katika mchezo wa fainali ya mashindano ya kanda ya tano ya mpira wa kikapu iliyomalizika usiku huu kwenye uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es Salaam
Washindi wa Pili timu ya Co-Coperative Bank ya Kenya
Mashabiki wa timu ya Burundi
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Leonard Thadeo (shoto) akimkabidhi kombe la ubingwa wa mashindano ya kanda ya tano ya mchezo nahodha wa timu ya Urunani ya Burundi leo
mashabiki wa timu ya Urunani ya Burundi wakisherehekea ubingwa
Mabingwa wa kanda ya tano wa mpira wa kikapu timu ya Urunani ya Burundi.
Wachezaji wa timu ya Burundi wanawake na wanaume wakiwa katika picha ya pamoja. Picha zote na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...