Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sander Gurbuz akimweleza Mwenyekiti wa WAMA,Mama Salma Kikwete kuhusu msaada wanautoa wa incubators 10 kwa Taasisi ya WAMA. Kulia kwa balozi ni Mke wake Mama Durhan Gurbuz na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la TPM Mining and Energy Co. Limited, Bw. Burak Buyuksarac
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sander Gurbuz akikabidhi incubators 10 zenye thamani ya Tsh. Millioni 50/- kwa ajili ya kusaidia kuboresha huduma kwa watoto wachanga kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mhe. Mama Salma Kikwete. Wanaoshuhudia ni Mke wa Balozi waa Uturuki nchini , Mama Durhan Gurbuz na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la TPM Mining and Energy Co. Limited, Bw. Burak Buyuksarac.
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sander Gurbuz akitoa maelezo kwa Mhe. Mama Salma Kikwete, Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA namna ya kutumia incubator wakati wa makabidhiano ya incubators 10 kwa ajili ya watoto wachanga yaliyofanyika katika ofisi za Taasisi ya WAMA
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA , Mhe. Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Mke wa Balozi wa Uturuki, Mama Durhan Gurbuz wakati wa makabidhiano ya incubators 10 yaliyofanywa na Ubalozi wa Uturuki nchini Tanzania, katika Ofisi za WAMA
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano ya incubators 10 zenye thamani ya Tsh. Millioni 50/- kwa Taasisi ya WAMA yaliyofanyika katika ofisi za WAMA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kama mzazi ambaye mtoto wangu amewahi kuhitaji msaada wa hiki kifaa naelewa umuhimu wake na nasema asanteni sana na Mungu awabariki sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...