Sehemu ya kipande cha Barabara ya Nyerere Road jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa ukarabati kikiwa kimefungwa ili kupisha ukarabati wa barabara hiyo.Kipande hiki kinafanywa kunyanyuliwa kidogo juu kutokana tatizo la kujaa maji pindi mvua zinaponyesha.
 Mafundi wakiendelea na shughuli ya ukatabati wa barabara hiyo.
Magari yote yakipita katika Service Road kutokana na ukarabati wa Barabara hiyo unaoendelea hivi sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...