Gari la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni likiwa limesimama barabarani wakati wa kupakia taka ngumu zilizokuwepo kando kando ya barabara ya Kawawa,maeneo ya Bonde la Kigogo asubuhi ya leo huku kukiwa hakuna ishara yeyote ya kiusalama barabarani iliyozingatiwa na wahusika wa gari kuonyesha kama imesikaka,hali ambayo ni ya hatari sana na inaweza sababisha ajali pia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hapo ili kuhakikisha usalama wa wafanyakazi ni kuwa waweke kibao cha kuonyesha watu wapo kazini!!

    ReplyDelete
  2. Dereva anajulikana, anatakiwa apewe onyo. Hapo anawezasababisha kupotezwa kwa maisha ya watu na pia hasara kwa hilo gari na litakalogonga. Haya ndio matokeo ya kugawiana leseni bila kufunzu mafunzo.

    ReplyDelete
  3. Hiyo ni wiki ya usalama barabarani BONGO HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!/////////////////////??????????????????????????????????/

    ReplyDelete
  4. Mbona usalama upo,as long as sign zinaruhusu kusimama na white line kuovertake inaruhusiwa kama wangeblock njia basi wangeasha hazard lakini nafasi ya kutosha ipo kupita mpiga picha umechemsha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...