![]() |
Prof. Ngouma Lokito na Lokassa Ya Mbongo |
Home
Unlabelled
Usiku Wa Mtanzania mitaa ya New England Novemba 5, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
![]() |
Wakali kutoka Soukouss Stars Prof. Ngouma Lokito na Lokassa Ya Mbongo wanaungana na "Mzee wa kitambaa cheupe" Kikumbi Mwanza Mpango - Maestro King Kiki kuja kuuwasha moto kwa mara ya kwanza kabisa katika majimbo ya New England kwenye club maarufu ya Knight of Columbus 484 Lancaster Street, Leominster, Ma 01453 siku ya Jumamosi tarehe 5 Novemba 2011 kuanziasaa mbili usiku mpaka usiku wa manane. Asia Idarous-Khamsin, mama wa mitindo Lady in Red anakuja na mzigo makhsusi ili kuja kuwapagawisha wabongo kwa khanga na mitindo ya Kitanzania. Pia kutakuwa na guest Bongo flava super star atakaepanda kushow love! Sehemu ya disco inaongozwa na our very own New England finest DJs Rich Maka na Paul Masoud. Hii shughuli sio ya kukosa. Karibuni wote waambie na wengine. Wahi tiketi yako mapema $15.00 kabla ya show na $20.00 mlangoni. Kwa habari kamili na tiketi wasiliana na: Siraji 978.413.1164 Rich 413.262.0400 Isaac 413.219.1153 Paul 781.526.6846 |
![]() |
Prof. Ngouma Lokito na Lokassa Ya Mbongo |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...