vikundi mbalimbali vilivyoshiriki kwenye maandamano ya uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani yanayofanyika kitaifa mkoani Kagera.
jaji mkuu Mohamed Chande Othman  akimkabidhi cheti cha shukrani mwakilishi wa kampuni ya mafuta Baraza Mshindo cheti cha shukrani, baadhi ya wadau walikabidhiwa vyeti maalumu kwa mchango wao kwa kuihamasisha jamii kuepukana na ajali za barabarani.kushoto ni naibu waziri wa mambo ya ndani balozi Khamis Kagasheki
mwenyekiti wa baraza la usalama barabarani la mkoa wa Kagera Winston kabantega akipokea cheti cha shukrani toka kwa jaji mkuu Mohamed Chande Othman, Kabantega pia ni Mkurugenzi mkuu wa chuo cha udereva cha Lake zone, amepewa cheti hiki kwa hatua yake ya kuwahamasisha madereva wajiunge vya vyuo vinavyotoa mafunzi ya udereva.kushoto ni naibu waziri wa mambo ya ndani balozi Khamis Kagasheki
Jaji Mkuu MOhamed Chande Othman akiwa kwenye viwanja vya jimkana kulikofanyika uzinduzi wa wiki ya usalama barabarani akisubili kupokea maandamani ya vikundi mbalimbali vilivyoshiriki kwenye maadhimisho hayo, kushoto ni naibu waziri wa mambo ya ndani balozi Khamis Kagasheki na kulia ni mkuu wa mkoa wa kagera kanali mstaafu Fabian Massawe.
mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi mkoani Kagera Bi Contancia Buhiye (mwenye miwani) ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM ya taifa akiwa katika picha ya pamoja na kamanda wa operation maalumu wa jeshi la polisi kamishina Paul Chagonja, kwa pamoja walikuwa kwenye viwanja vya jimkana ambapo ulifanyika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama ulifanywa na jaji mkuu Othaman Chande.Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...