Wanachama wa chadema wakiandamana mchana wa leo jijini Arusha maeneo ya clock tower karibu na ofisi za precision air wakielekea mitaa ya manispaa huku wakisikika wakisema "tumechoka kesi feki". zilikua zimeongoza piki piki na bendera.nimeshindwa kupata taswira kwa ubora zaidi maana jamaa walikua na
jazba sana nikapoteza timing.

Mdau Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...