Shaffie Dauda wa Clouds FM akifuatilia mpambano akiwa kaketi sehemu ya VIP
 Ankal na piga picha hodari wa IPP Media Khalfan Said wakiwa mzigoni neshno
Hamisi Akida wa Habari Leo na Daily News na wenzie wakiwa mzigoni.
Siku hizi mambo ni mswano kwani vifaa vya kisasa kedekede na magazeti pia si haba. Tofauti na enzi za mwalimu ambapo zilitumika kamera za 'Mikangafu' na filamu za Kirusi spidi 60ASA. Ila ubora wa picha unategemea
mdau msomaji wa magazeti toka enzi hizo na sasa. Unasemaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankal tunataka na picha za Yanga na ToTo si za simba tu.


    M.Issa

    ReplyDelete
  2. Anko pamoja na vikwazo vya teknolojia ulikuwa unatisha sana enzi hizo. Ukianzia SHIHATA na kuendelea DAILY NEWS. Tuliokuwa tunasoma TAMBAZA enzi za Mwinyi tulikuwa tunakuogopa manake tukiharibu unatutoa kwenye ukurasa wa kwanza wa gazeti tena bila kujijua na kujua umetupigia picha kutokea wapi. Na tulikuwa tukiambiana vijiweni. Hii sio fix ni kweli.

    ReplyDelete
  3. Always Ankal BIG O SMILE! I like your great spirit ankal you love what u r doing! Mungu akupe maisha marefu!

    ReplyDelete
  4. ANKAL MBONA YAKO FUPI KULIKO YA KHALFAN NA HAMISI? HIVI INAPIGA MBALI VIZURI AU INATEGEMEA NGUVU YAKE NA UTAALAM WAKO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...