Shaffie Dauda wa Clouds FM akifuatilia mpambano akiwa kaketi sehemu ya VIP
Ankal na piga picha hodari wa IPP Media Khalfan Said wakiwa mzigoni neshno
Hamisi Akida wa Habari Leo na Daily News na wenzie wakiwa mzigoni.
Siku hizi mambo ni mswano kwani vifaa vya kisasa kedekede na magazeti pia si haba. Tofauti na enzi za mwalimu ambapo zilitumika kamera za 'Mikangafu' na filamu za Kirusi spidi 60ASA. Ila ubora wa picha unategemea
mdau msomaji wa magazeti toka enzi hizo na sasa. Unasemaje?
Ankal tunataka na picha za Yanga na ToTo si za simba tu.
ReplyDeleteM.Issa
Anko pamoja na vikwazo vya teknolojia ulikuwa unatisha sana enzi hizo. Ukianzia SHIHATA na kuendelea DAILY NEWS. Tuliokuwa tunasoma TAMBAZA enzi za Mwinyi tulikuwa tunakuogopa manake tukiharibu unatutoa kwenye ukurasa wa kwanza wa gazeti tena bila kujijua na kujua umetupigia picha kutokea wapi. Na tulikuwa tukiambiana vijiweni. Hii sio fix ni kweli.
ReplyDeleteAlways Ankal BIG O SMILE! I like your great spirit ankal you love what u r doing! Mungu akupe maisha marefu!
ReplyDeleteANKAL MBONA YAKO FUPI KULIKO YA KHALFAN NA HAMISI? HIVI INAPIGA MBALI VIZURI AU INATEGEMEA NGUVU YAKE NA UTAALAM WAKO?
ReplyDelete