Home
Unlabelled
watani wa jadi mnamkumbuka huyu bwana?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ha!Ha!Ha!Ha!Ha!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteNA BADO
ReplyDeleteHuyu jeuri kweli, mie nahama timu, babu alitaka kupata kiharusi maana alikua anatetemeka kama kifaranga kilichorowa!ha!ha!ha!ha!ha!!!!!!
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteKumbe na Manchesita United wanafungwaga Eh!
Mtakoma bado mechi ya pili na Arsenal lazima tulipe tuwabatize Manchenane.
Lugha gongana uncle hio!
ReplyDeletekushnei man u
ReplyDeleteMANSITA(6) wamempiga Manchester United Ngapi kwani?
ReplyDeleteX-X
Shabiki namba wan wa MANU akiwa safarini uarabuni alinipigia simu kuniuliza results ya gemu.Nikamwambia mabao sita kwa moja.Akajibu, wow, watatuheshimu sasa. Sikumwambia zaidi maana angeweza kupata heart attack.
ReplyDeleteKipofu kaona mwezi kauchekeleaaaa! kauchekelea mwezi, kauchekeleaaa!!!
ReplyDeletekwisha yao hao.
ReplyDeleteMNAONGELEA man’six AU?
ReplyDeleteAU NI MAN 6 PACKS!!
ILA ONA HII
……and do you know what happened today? , Alex Ferguson’s wife woke him up today early in the morning and said, ‘hey honey its 7’, and the old man screamed ‘faaak they scored again??
U WIN SOME U LOOSE SOME U ALWAYZ LIVE TO FIGHT ANOTHER DAY,GO MAN U.
ReplyDeleteBaada ya kushinda 8-2 dhidi ya Aesenal, Roony alidai' I like to score agaist Arsenal' sasa unaona ujinga huo? kumbe 'he likes to score against Arsenal but not against Man city'..imewagharimu!
ReplyDelete