Mario Balotelli wa Man City baada ya kuwapia Man U bao la 
kwanza jana ambapo wazee wazima walilala 6-1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Ha!Ha!Ha!Ha!Ha!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Huyu jeuri kweli, mie nahama timu, babu alitaka kupata kiharusi maana alikua anatetemeka kama kifaranga kilichorowa!ha!ha!ha!ha!ha!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Duh!
    Kumbe na Manchesita United wanafungwaga Eh!

    Mtakoma bado mechi ya pili na Arsenal lazima tulipe tuwabatize Manchenane.

    ReplyDelete
  4. Lugha gongana uncle hio!

    ReplyDelete
  5. kushnei man u

    ReplyDelete
  6. MANSITA(6) wamempiga Manchester United Ngapi kwani?

    X-X

    ReplyDelete
  7. Shabiki namba wan wa MANU akiwa safarini uarabuni alinipigia simu kuniuliza results ya gemu.Nikamwambia mabao sita kwa moja.Akajibu, wow, watatuheshimu sasa. Sikumwambia zaidi maana angeweza kupata heart attack.

    ReplyDelete
  8. Mangi wa KiboshoOctober 24, 2011

    Kipofu kaona mwezi kauchekeleaaaa! kauchekelea mwezi, kauchekeleaaa!!!

    ReplyDelete
  9. kwisha yao hao.

    ReplyDelete
  10. MNAONGELEA man’six AU?
    AU NI MAN 6 PACKS!!

    ILA ONA HII

    ……and do you know what happened today? , Alex Ferguson’s wife woke him up today early in the morning and said, ‘hey honey its 7’, and the old man screamed ‘faaak they scored again??

    ReplyDelete
  11. U WIN SOME U LOOSE SOME U ALWAYZ LIVE TO FIGHT ANOTHER DAY,GO MAN U.

    ReplyDelete
  12. Baada ya kushinda 8-2 dhidi ya Aesenal, Roony alidai' I like to score agaist Arsenal' sasa unaona ujinga huo? kumbe 'he likes to score against Arsenal but not against Man city'..imewagharimu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...