Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Bw. William Lukuvi akitembelea mabanda ya maonesho ya miaka 50 ya Uhuru ya Ofisi ya Waziri Mkuu yaliyoanza jana katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar. Alitembelea mabanda mbalimbali kujionea shughuli zinazofanywa na Idara, Taasisi na Wajasiriamali katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Ofisi hiyo.
Home
Unlabelled
Waziri Lukuvi atembelea maonyesho ya miaka 50 ya uhuru
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...