Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa akizindua Gari la Matangazo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) katika uwanja wa Top-Top mjini Bagamoyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Emanuel Humba.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa akiwa ndani ya gari hilo wakati wa uzinduzi wa Gari la Matangazo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) katika uwanja wa Top-Top mjini Bagamoyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...