Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassan akimuliza Jambo Ofisa wa Huduma za Forodha Mamlaka ya Mapato Tanzania,Bw. Abduliah Ali alipotembelea Kitengo cha Kina cha Huduma za Forodha.Kulia ni Meneja Huduma, Bw. Victor Msuya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano,Mh. Samia Suluhu Hassan akipewa Maelezo na Meneja Port Operostons,Bw. John Micah kwenye Ghala la Kuwekea Mizigo inayokwenda Zanzibar Bandarini Mjini Dar es Salaam Wakati wa Ziara ya kutembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).(Picha na Ali Meja)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...