Baadhi ya wanachama wa Association of Tanzanian Women in Diaspora (ATWID) wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 3 tangu kuzinduliwa kwake rasmi na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani,Mheshimiwa Mwanaidi Sinare Maajar (Mlezi wa ATWID) tarehe 1/11/2008.Sherehe hii ilifanyika kwenye Mgahawa wa Vicent Restaurant,mjini Reading,UK.Chama hicho kinaongozwa na Mwenyekiti,Susan Mzee huku Katibu Mkuu wake akiwa ni Mackrina Kalinga.

Jikeki la Sherehe lililopambwa na kupambika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HONGERA ATWID,
    NYINYI NI MFANO MZURI WA KUWAUNGANISHA NA KUWAJUMUISHA AKINA MAMA WA KIZAZI NA KADA MBALI MBALI HAPA UK NA TANZANIA. MMEPENDEZA.

    MAINA A. OWINO.
    UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...