Balozi wa Korea Kusini nchini, Young Hoon Kim ( kati kati) akibadirishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kulia),wakati alipofika Ofisini kwake baada ya makabidhiano ya majengo ya madarasa , vyoo vipya na nyumba za walimu za Shule ya Msingi Mzumbe ,Wilayani Mvomero, ambazo sehemu ya fedha za ukarabati wake zilitolewa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea Kusini ( KOICA), ( kushoto) ni Mwakilishi Mkazi wa KOICA Ofisi ya Tanzania, Holywater S.S. OH.Picha na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...