Home
Unlabelled
BARUA YA VIONGOZI WA VILABU KUKATAA WITO WA TENGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hiyo sio barua ya kweli, tarehe za kikao si halali. kuna ulakini mkubwa kwenye hiyo barua
ReplyDeleteHabari za leo bwana Michuzi,
ReplyDeleteHapo ktk barua naona kuna mushkeri kidogo.
Hawa jamaa wamewezaje kukutana tarehe 10/11/2012.
Wao malaika au....
Naelewa kuwa ni makosa ya uchapishaji wao Wa barua
Lakini barua muhimu Kama hii ni muhimu saana kuipitia
tena na tena na tena kuepusha mambo Kama hayo hapo juu.
Ni hayo tu mkuu.
barua na two wrong dates za mwakani? barua is not valid.
ReplyDeletePesa ilimsaliti hata YESU!!!
ReplyDeleteBarua hii kisheria ni feki!
ReplyDeleteCha kushangaza baru inaonyesha kuwa mkutano umefanyika 10/11/2012 na kikao cha 11/11/2012 ! mbona hizi tarehe ni za mwaka kesho!!? yaani tuna mwaka mzima kufikia tarehe hizo zilizoandikwa baruani,hisitoshe siyo mtu mmoja aliyetia sahini chini ya barua hii,inamaana watu waliotia saihini barua hii walikua vipofu hawakuipitia barua hii ? na kuandika tarehe za mwaka kesho ?
yaani nimeamini bongo atuwezi kuendelea hata kidogo yaani kila kitu lazima watoe kasoro tu baada ya kutoa mambo ya msingi sisi ni walalamishi na wapenda kukosoa sasa unasemaje tarehe ni ya mwakani alafu unasmea kuwa ni typing erro tunaitaji maombi kwa kweli maana hili taifa duh kila kitu ni kukosoa tu
ReplyDeleteNa makosa yote hayo bado viongozi wa vilabu wanamwaga wino tu, halafu tunashangaa soka letu haliendelei. Utakuta wengine ni wasomi humo, au ndio mambo ya bora shule iishe na sio bora nielimike?
ReplyDeleteNiliwahi kusema,,,watanzania tumezidi ubabaishaji! hatuko makini hata kwa mambo ya msingi! tunalalamikia mambo makubwa wakati hata madogo yaliyo ndani ya uwezo wetu yanatushinda! Watu makini zaidi ya watano hawawezi kusaini barua feki! Kwa kweli ni tatizo!!!!!!
ReplyDeleteHapa hawa jamaa wanadhihilisha ubovu wa viongozi wa michezo tulionao. Ikiwa hawa wote hawawezi kugundua kosa kubwa la tarehe, je, mmoja wao ataweza kugundua makosa makubwa ktk kilabu chake? Wadau pitia tena aya ya pili, kuna 'kituo' kimekaa katikati ya sentensi, hivyo kuharibu mtiririko maneno. Kwa barua hii kama leo hawakutokea kwenye kikao, TFF iwachukulie hatua kwa hao viongozi kuidharau, maana hawajawapa taarifa kuwa hawatahudhuria kikao leo. Kazi kwelikweli tunayo, kama viongozi ndo wa namna hii, maendeleo tuyasahau
ReplyDelete