Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inasikitisha sana kuona most of the things in Tanzania are sold in US dollar,cause its one of the things inasababisha pesa yetu inazidi kushuka samani. Kwa kweli i am very disappointed.
ReplyDeleteni kitu kile kile tu. ukiwa japani unanunua vitu kwa dola vile vile, na hata china. ukibadilisha dola tanzania na uganda unapata shilingi nyingi za uganda kuliko tanzania na kwenye kubadili hela yetu inaonekama kama ina dhamani kuliko ya uganda lakini kenye matumizi ukiwa na dola 100 uganda unafanya mengi kuliko tanzania! kwa kifupi ni kwamba suala si dola au shilingi au kiasi gani, bali ni namna ya kuipata hiyo hela na thamani ya matumizi yake. ukiwa unasafiri safiri haya mambo utayaona
ReplyDeletewanawekaga madola umo kutaka kupunguza hayo manoti ya kubegaga. halafu dola inapanda kila kukicha kwa hiyo muuza anapata faida juu ya juu. ukiangaliga na hayo mabei yenyewe ya kununua hayo majumba, sidhani kama kuna mlalahoi apokeae 100,000 kwa mwezi anaweza kulipa hiyo morgage. hizo bwana ni za wenyewe wavamizi wananchi wazawa nchi ishauzwa mlie tu. mkajenge kinyerezi ndani kabisa kwani hamutakiwagi kabisa.
ReplyDeletehiyo nhc inauza apartment milioni 67 bila kodi. ukiingiza na kodi hapo inafika milioni 90 shilingi. haya weye mbeba gunia au msukuma kwama utaweza kununua kweli?
mi nataka nianzishe nyumba za kuhama hama "caravans" najua nitawasaidia wengi. kwanza natafuta ga kakiwanja ili niyalundike hayo malori ya kuishi watu. iwe. tutakufaga sasa.
Malighafi na viwanja vyote wamenunua kwa pesa ya madafu lakini wao wanauza kwa dola! The Government has to do something about this shit!
ReplyDeleteNyumba ya vyumba vitatu 65,000$ loh! wezi wakubwa! halafu hawa wanatakiwa wakamatwe na serikali ndio wanaofanya dola inashuka kila siku, jinsi watu wanavopangisha kuuza vitu kwa dola ndio inazidi kupanda thamani na shilingi kuporomoka! government has to do something about this!~ kikwete amka waambie kina beno ndulu na mkulo walifanyie kazi hili, na pia kuwastua tu hao hao wanaombiwa kuuza kwa shilingi wanaquote bei kwa kuconvert in dollars, yaani kila siku bei ya kitu hicho hico itanabilika kwa kuwa kinauzwa kwa dola shit ashit shit
ReplyDeleteHii Kampuni si iliwahi kuwa placed under receivership? Mbona kama inaendelea ku trade?
ReplyDeleteNaona wachangiaji waliotangulia hawajaishi Tanzania sikuza karibuni au hawana dhana ya kibiashara. Mimi kama mfanaynyabiashara, exchange rate ya dollar kwa shilling inabadilika mara tatu mpakatano kwa siku moja. Ukienda bank asubui na saa site mchana unakuta tofauti ilishabadilika. I think problem should be solved kwa serikari kustabilize shilling kabla ya kulaumu muuzaji nayetoa bei ya dolla lakini ukienda kulipa atakupa rate ya wakati huo ili ulipie kwa shilling. Kumbuka cement sasa mfuko ni Tshs 15,000 wakati last week ilikuwa 13,500
ReplyDeletein short huu ni wizi wa wazi na hamna kiongozi husika aliyesimama akakemea hili. Kiwanja kwa madafu, mkopo wapewa kwa madafu ila wao wanataka malipo kwa fedha ya kigeni. Pia mkopo wenyewe wanatulangua wakati Benki ya dunia imetoa mkopo kwa riba nafuu then commercial banks wamekopeshwa kwa riba ndogo ya 8 percent lakini wao wanapiga kitu 15% mpaka 20%. NHC ndo aibu tupu, dunia hii ya leo unaniuzia nyumba ya vyumba 2 vya kulala kwa 90 million? kwa kipato kipi. sasa wawekezaji wengine nao si lazima watatumia hizo bei kama ndio indication price na kuweka mark up yao juu. kwa kifupi tutalala kwenye vijumba vibovu. hizo waache wakae wenyewe.
ReplyDeletehii ndio bei za nyumba TZ atleast ziko bei bafuu kidogo siyo milion400, i will 2 or 3 houses! am on my way!
ReplyDeleteMdau namba mbili hapo juu ukiwa japani utanunua kwa yen na siyo dollar na wala hawaithamini hiyo dola wala euro. Sijui China maana sijawahi kufika lakini sidhani kama ndani ya nchi yao utaweza kutumia dollar badala ya yuan.
ReplyDeleteTunaopapatikia madola na maeuro ni sisi washamba.
Halo mambo ni dollar tu! nani anataka noti zilizochakaa kama zimeokotwa majalalani? pesa haina afya kabisa hata toilet paper ni ngumu ukilinganisha na noti ya bongo bull shit
ReplyDeleteNi kosa kisheria kuuza bidhaa, kwa pesa ambayo si halisi ya Tanzania, nchini. unless hao watendaji wasijue au wafumbie macho. Suala jingine hawa hawajatoa details ya hizo nyumba kuona kama zinafanana na bei, vitu kama ukubwa wa plot, inaonekana nyumba yenyewe ni 110m2. Lakini kama hamna plot kubwa ya kutosha mnunuzi yeyote ni yule hajafanya utafiti wake wa soko vizuri- this is only my view. Mimi nakaa mbali na home. Nimekuja last year, and a good one month search ikanipa options nzuri tu. I bet u, the sort of houses i saw, hizi haziingii kabisa. Money is hard to come by especially with current economic downturn, sasa with other cheaper, quality options, if you guys makes a sale of these, good for you, hongereni.
ReplyDelete