Bondia Joe Frazier enzi za uhai wake. Bondia huyu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kutokana na maradhi ya saratani ya ini. Amekufa akiwa na umri wa miaka 67
Hayati Joe Frazier (kulia) akiwa na hasimu wake mkubwa Muhammad Ali na promota wao Don King. Hii ilikuwa ni kabla ya mpambano wao mwaka 1971 ambapo Muhammad Ali alipigwa kabla ya kulipiza kisasi miaka minne baadaye

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ankal. Ikumbukkwe kuwa tangu 2003, Ali na hayati Frazier wamekuwa marafiki ambao wamekuwa wakitembeleana. Soma interview ya Frazier ya hivi karibuni 'the other side of Ali' na tamko rasmi la Ali kabla na baada ya msiba huo. Arbogast.

    ReplyDelete
  2. WENZETU WAMEAMKA ZAIDI::::
    Uhasama walimaliza wakarudi ktk maridhiano.

    SISI kwetu utakuta SOMWE PATAULI na STANLEY MABESI hawasemi wakikutana ngumi mkononi ,nakumbuka nilishuhudia siku moja maeneo ya Msasani/Oysterbay pale Morocco Stanley Mabesi alikuwa anapita na baiskeli yake akamkuta Somwe Patauli barabarani Mabesi aka paki baiskeli yake zikaanza kupigwa kavu kavu!:::::: FRANCIS CHEKA na akina MATUMLA hawasemi:::::MANENO OSWALD na JAPHET KASEBA hawasemi. hii ni nini jamani???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...