Home
Unlabelled
CECAFA TUSKER CUP 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inafurahisha: "Tanzania Vs Zanzibar".
ReplyDeleteTanzania ni ipi na Zanzibar ni ipi?
Kwa nini ratiba inaonesha michezo yote inachezwa dar wakati walitangaza kuwa mashindano hayo yatafanyika Dar na Mwanza?
ReplyDeleteSASA NDIO WAKATI MUAFAKA WA KUJIGAWA WAZANZIBAR WAWE KIVYAO NA SISIS WA TANGANYIKA TUWE KIVYETU, SAWA KABISA KWANI HAWA JAMAA WA KIZENJI WANAPENDA SANA KUJITENGA NA MIMI KAMA MTANGANYIKA NAONA SAWA TU KWANI SIWAPENDI, KWANZA NAOMBA SERIKALI IWAPE PASSPORT ZA KIKWAO HAWAFAI NI WABAGUZI WAKUBWA
ReplyDeleteTusichangae Tanzania vs. Zanzibar. Si wajua watanganyika hatutaki kusikia Tanganyika? Lakini ukweli hapa nilitegemea kuona Tanganyika na si Tanzania. Maana Tanzania ni sahihi kama hata Zanzibar inakuwa ndani, lakini sasa Zanzibar inajitegemea. Nafikiri watu wengi hatuujui vyema muungano. Kuna kila sababu ya kuwepo elimu ya muungano wetu kwa watanzania wote, ili tuutambue vizuri. Maana hii kitu ilipatikana kwa makubaliano ya watu wawili tu
ReplyDeleteAsante mtoa maoni wa kwanza. Ina maana ikatokea finali ikawa timu ya Tanzania na Zanzibar kutakuwa na wachezaji wa Zanzibar kwenye timu ya Tanzania? We need our Tanganyika back.
ReplyDelete"Tanzania Vs Zanzibar" na kweli inafurahisha. CHADEMA wakiyasema haya ili mambo yawekwe sawa kila upande uridhike wanaambiwa wana fujo. Haya endeleeni kuwa wadanganyika!
ReplyDelete