Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na  mgeni wake Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles,mara baada ya kuwasili Ikulu Mjini Zanzibar,akifuatana  na Mkewe Camilla, Duchess of Cornwall.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akimkabidhi zawadi Mke wa Prince Charles, Camilla Duchess of Cornwall la baada ya mazungumzo  huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akipeana mikono na Mke wa Prince Charles Camilla Duchess of Cornwall  kama ishara ya kumkaribisha huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na mgeni wake Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles,wakiingia katika ukumbi wa mikutano pamoja na Ujumbe aliofuatana nao ,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akimkaribisha mgeni wake Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles,na Mkewe Camela,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiutana na  mgeni wake Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles,akiwa na Mkewe Camilla Duchess of Cornwall  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Yaani Shein utafikiri yeye ndio anakaribishwa!!! LOL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...