Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi,Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland University Bergen nchini Norway Stenner Kvinnsend, Ikulu Mjini Zanzibar wakati ujumbe huo ulipofika kuonana na Rais na kufanya mazungumzo na leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi,Dk. Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland University Bergen nchini Norway Stenner Kvinnsend,(kushoto) baada ya mazungumzo na ujumbe huo Ikulu Mjini Zanzibar,(wapili kulia) Katibu Mkuu Wizara ra Afya Mohamed Saleh Jidawi na (wapili kulia) mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmjoja Dk Jamala Adam Taib.Picha na Ramadhan Othman,IKULU.
Nimefurahi kumuona Dk jidawi nimeondoka zanzibar akiwa bado kijana na pirika zake pale hospitali ya Mnazi mmoja nilipokuwa nafika kumuona nikisumbuliwa na maleria leo anaonekana kuwa ameanza kuwa mzee ndio maisha angalau amebaki nyumbani kusaidia Mmungu ambariki
ReplyDelete